Navutiwa sana na kiwango cha nahodha msaidizi wa KenGold Mishamo Daudi miongoni mwa washambuliaji hatari sana ambao ukimpa game time atakupa Quality time, heading, athleticism, power na skills, inshort ni super Talent.
Sisemi kama Kengold watashuka Daraja, ila ikitokea hivyo kutokana na Position waliyopo kwenye msimamo, nadhani Mishamo Daudi Michael anabaki kwenye Ligi kuu. Ni Quality ya Ligi kuu kabisa.