Mbeya City waahidi kupanda Ligi Kuu bara

Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Mbeya City, Ally Nnunduma @abbydullah amesema matazamo wao na malengo ya klabu hiyo ni kurejea tena katika Ligi Kuu ya NBC.

“Ili nipande Ligi Kuu na timu yangu ni kuhakikisha nashinda michezo yote, nashinda bila kujali Mbeya City inacheza na timu ndogo au kubwa na hiyo spirit ipo kuanzia kwa mashabiki, wachezaji benchi la ufundi pamoja na viongozi, na kila mtu wazo alilonalo ni kuhakikisha timu ya Mbeya City inarudi katika Ligi Kuu”. amesema Nnunduma



#ngindoupdates || #ngindomedia