Kozi ya VAR yapamba moto, Mkapa Stadium

WAAMUZI wakiendelea na kozi ya VAR kwa vitendo, (VAR Course program) inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikisimamiwa na Shirikisho la soka ulimwemguni FIFA.