Kocha Juma Kaseja ameshinda mechi yake ya pili akiwa na Kagera Sugar kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC, baada ya mechi iliyopita kushinda 2-1 dhidi ya Pamba JIJI FC.
Kagera Sugar imefuzu hatua ya 16 ya CRDB Federation Cup.
#ngindomedia || #ngindoupdates