Feitoto aendi popote+ Hashim Ibwe

Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe, amenukuliwa akisema kwamba, bado wanauhitaji mkubwa na Feisal Salum "Feitoto" ambaye amebakiwa na miezi 17 katika mkataba wake.

Hivyo wanapambana kumuongezea mkataba aendelee kusalia kikosini hapo kwa muda mwingine zaidi.

."Kama kuna mchezaji tunahitaji abaki, basi ni huyu kijana Feisal, alisema Ibwe na kuongeza hatujafungua mazungumzo rasmi na klabu yoyote kwa sababu hauzwi.

Feisal Salum ana miezi 17 katika mkataba wake na Azam FC, haendi popote, tutahakiki-sha anabaki kwani ni mchezaji muhimu."

Amesema Hashim Ibwe msemaji wa Azam FC



#ngindomedia #ngindoupdates