Dullah Makabila na Martha Mwaioaja kimeeleweka

Msanii wa muziki wa singeli, Dullah Makabila ameweka wazi kwamba yeye binafsi anampenda sana mwanamuziki wa gosper Martha Mwaioaja na anatamani kufanya kolabo.

"Nampenda sana Martha Mwaipaja, nilimuomba nimshirikishe kwenye video yangu ya (Pita huku) akaniambia yupo nje ya nchi, ila naamini ipo siku nitafanya nae kazi", Dulla Makabila