Clement Mzize huyoo Galatasaray


Mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania taifa stars Clement Mzize huenda asiwe sehemu ya kikosi msimu ujao kwenye klabu ya Yanga.

Taarifa za ndani ya klabu zinasema kuna ofa kubwa kutoka nje zimekuja ndani na nje ya afrika ila Dili kubwa huenda mshambuliaji huyu hatari tukamuona kwenye timu ya Galatasaray inayoshiriki Ligi Kuu ya nchi Uturuki