Cindy: Mke wa Muddy Muzungu aliyetimkia kwa mlokole Amani

Kwasasa series ya DUNIA inafanya vizuri sana hapa nchini na watu wengi wamehamia kwao, Cindy ni mwigizaji ambaye anavutia kwenye series hiyo.

Cindy ni mke wa Muddy Muzungu au Muddy Kubwa, lakini Cindy anaonekana kumkana Muzungu na kukimbilia kwa mlokole Amani, na kivutio zaidi kwenye series hiyo kwamba Amani hamtaki tena Cindy ambaye ameomba taraka kwa chapombe Muddy Muzungu.

Cindy anaonekana kuja Supastaa mwingine hapa nchini akienda kuchukua nafasi za mastaa wengineo wa kike kama Johari au Lulu