Basi la Yanga lavamia uwanja wa Mo Simba Arena

Yanga waifuata Simba mpaka kwenye uwanja wa Klabu ya Simba wa mazoezi (Mo Arena) Uliopo Bunju Dar Es Saalam.

“Basi la Yanga lilifika hadi kwenye Geti la kuingia uwanja wa Simba ila hawakufunguliwa getini na walinzi wa uwanja huo, hakukuwa na maongezi yoyote ndipo walipogeuza basi kuondoka. Hakukuwa na wachezaji ndani ya Basi ni dereva na Kondakta Pekee” – Shabiki