Aziz Ki kaoa mnyama mwenzetu- Ahmed Ally

""Aziz KI amewekeza kwenye mapenzi, ni shemeji yetu kwasababu ameoa mnyama mwenzetu ila tar 8 tutamfanya vibaya, safari hii hawana timu wana maveterani wengi"

"Yule kocha wa JKT Ahmad Ally anaringana umri na wachezaji wa Yanga, wote wale wana miaka kama 50 hivi"

Ahmed Ally [ Meneja Mawasiliano wa Simba Sports