Kiungo wa Yanga SC, na raia wa Burkina Faso Stephanie Azizi Ki ameonekana katika hospital ya Saifee nchini Morocco akiwa na Hamissa Mobetto akitembea kwa tabu na kushika kiuno, hata hivyo Daktari wa timu ya Yanga SC Mosses Itutu amekana taarifaa hiyo ya Majeraha.
"Mimi kama Daktari wa timu Sina taarifaa ya Majeraha yake kwasasa tunajiandaa na Dabi ya Kariakoo, taarifaa iliyo ni Yao kouassi ndiye anayesumbuliwa na Majeraha" dkt.Itutu