ALIKAMWE afungiwa miaka miwili na TFF

Taarifa zilizopatikana hivi punde zinasema kwamba msemaji wa Yanga, Alikamwe amefungiwa Kwa muda wa miaka miwili.

Kamati ya maadili ya Shirikisho la soka nchini, TFF, imemkuta na hatia Kamwe wakati hasimu wake Ahmed Ally wa Simba SC hajakutwa na kosa lolote hivyo yupo huru.

Naye Hamisi Mazanzala wa Kagera Sugar naye anaungana na Kamwe kutumikia adhabu