YANGA YATAMBULISHA JEZI ZA 2023/2024
Klabu ya Yanga SC imetambulisha jezi zake mpya itakazotumia msimu ujao wa 2023/2024.
Mwanamitindo Sheria Ngowi ameendelea kuing' arisha klabu hiyo kwani jezi za msimu uliopita kuanzia za Ligi Kuu bara na michuano ya kimataifa zilifanua vizuri.
Mashabiki wa Yanga wanatakiwa kuzichangamkia jezi hizo ambazo tayari zimeanza kuuzwa kwenye maduka mbalimbali ya jezi