Mshambuliaji Willy Osemba Onana raia wa Rwanda leo mapema amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Simba SC.
Onana ameondoma leo hii na ndege ya Ethiopia Airlines saa 10: 25 alfajiri ya leo na tayari ameshamalizana na klabu hiyo.
Mchezaji huyo atarejea tena nchini kwa ajili ya kuungana na wachezaji wenzake watakapoingia kambini kujiandaa na msimu mpya wa ligi