RS Berkane yamng' oa Mpanzu, Simba

RS Berkane ya Morocco wamefungua mazungumzo na kambi ya Nyota wa Simba,Elie Mpanzu.

RS Berkane Bado hawajatuma ofa rasmi kwenda Simba,mpaka watakapo kamilisha makubaliano na upande wa mchezaji (Mshahara na Bonus).

RS Berkane Wako tayari kuvunja “release clause” ambayo Simba waliweka kwa Mpanzu,inakadriwa kuwa Tsh 450m.