Yanga wakishangilia ubingwa wao wa bara tarehe Juni 25, 2025 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine WACHEZAJI wa klabu ya Yanga SC wakishangilia ubingwa wao wa Ligi Kuu bara uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, lakini pia ubingwa huo umenoga zaidi baada ya kumfunga mtani wake Simba SC mabao 2-0.