Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuanzia msimu ujao (2025/26), litakuwa na mshirika wa michezo ya kubashiri katika mashindano yake yote.
TFF imesema mshirika huyo atapewa haki hizo kwa kipindi chote cha makubaliano, hivyo yeyote atakayehitaji odds kwa ajili ya mechi ambazo zitakuwa chini ya TFF, atalazimika kuwasiliana na mshirika huyo.
#FutbalPlanetUpdates