Klabu ya Kaizer Chiefs wametinga hatua ya fainali kombe la Nedbank Cup na watacheza na Orlando Pirates fainali.
Kaizer Chief wametinga hatua hiyo baada ya kuilaza Mamelodi Sundown's mabao 2-1 yaliyofungwa na Mokwena dakika ya 45 na Duba dakika ya 57 wakati la Mamelodi limefungwa na Preez dakika ya 89
Kaizer Chief inayonolewa na kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ambapo kama ikitwaa ubingwa utakuwa ubingwa wake wa kwanza tangu ajiunge nao