Mac muga ni wimbo wenye alama ya tofauti kwa catalogue ya Alikiba ulitokana na story ya kweli ya mtu halisi anayeitwa Mac Muga kama jina la wimbo huo.Na hapa ameshea nasisi kuhusu story ya Mac Muga:
"Nafiki ilikuwa mida ya saa tisa wakati naelekea mazoezini, nakumbuka ndo kipindi ambacho nilitakiwa nielekee Yanga.
Wakati nilipofika karibu na uwanja wa mazoezi ndipo nilipokutana na Mac Muga huku akiwa amejiinamia nikawa nimeuliza nini haswa kinamsibu, ndipo alipoanza kunisimulia story yake. na hapo nikapata wazo la wimbo wa Mag Muga.Alisema Alikiba