Christina Mwagala ampa masaa 24 Alikamwe

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Walina asali wa Tabora Tabora United.

Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais

.