Mtanzania mwingine apiga bao Ligi ya Taifa Uingereza

Nyota wa Tanzania Tarryn Allarakhia amefunga bao moja akiisaidia timu yake ya Rochdale AFC kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Wealdstone FC kwenye mchezo wa Ligi ya Taifa (National League) ya Uingereza