Mbwana Samatta atupia tena PAOK

Nyota wa Tanzania Mbwana Samatta ameisaidia timu yake ya PAOK FC kupata ushindi wa mabao 2:0 dhidi ya Asteras kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Ugiriki, Samatta amefunga bao moja na kutoa pasi ya usaidizi (Assist)