Cathe: Supastaa mpya wa filamu ya Dunia

Anaitwa Cathe, ni miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri kwenye serious ya Dunia akiigiza kama mmbea wa Matty na Manyanya.

Cathe anaonekana kabisa kuja kuwa supastaa nchini Tanzania kama walivyo mastaa wengine waliotikisa nchini.

Hongera sana Cathe na wenzake wanaounda kundi linalofanya vema na serious ya Dunia.

Cathe wa kwanza kushoto


Cathe staa wa Dunia

Aman (kushoto) akiwa na Cindy
Cathe