Jezi mpya za Yanga SC hizi hapa

Klabu ya Yanga SC imetambulisha jezi zake mpya itakazotumia katika michuano ya kimataifa.

Yanga SC itacheza na Al Hilal Omduman ya Sudan Katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam ambapo itaanza kutumia jezi hizo.

Muitikio ulikuwa mkubwa na tutegemee kuona ongezeko kuwa kubwa kwa wapenzi wa klabu hiyo nje ya Dar es Salaam.