Billionaire na muwekezaji na M/Kiti wa Bodi klabu ya Simba SC Tanzania
MO Dewji leo alifanya ziara ya ukaguzi wa uwanja wa MO Simba Arena uliopo Bunju, kwa ajili ya kuanza ujenzi mkubwa wa uwanja huo na Hostel za kisasa, viwanja vya mazoezi na miundombinu mingine.
MO Dewji atakuwa na baadhi ya wajumbe wa bodi Simba na Injinia wa ujenzi.