Benchi la ufundi Simba SC hili hapa

Klabu ya Simba SC italidafisha benchi lake lote la ufundi na sasa litakuwa na watu wapya kuanzia kocha mkuu, msaidizi na msoma video.

Benchi hilo litakuwa na watu wafuatao kama ifuatavyo;

Kocha mkuu -Fadlu Davids
Darian Wilken -kocha Msaidizi.
Mueez Kajel -Mchambuzi wa Video.
Riodoh Bardien -kocha wa Viungo
Wayne Sandiland - Kocha wa Makipa.