Msanii wa bongofleva Young Lunya anawashangaa wabongo wanapenda kumshindanisha na msanii mwenzake Young Killer.
"Nashangaa bongo nashindwa kuwaelewa kwanini wananishindanisha na Young Killer kwani nimemzidi kila kitu mpaka kupanda ndege.
Pia msanii Young Lunya ameongeza kwa kusema kuwa hajawahi kumuona Young Killer kabadilisha style ya kuimba.