Chukwu wa Rivers United kutua Singida Fountain Gate

Klabu ya Singida Fountain Gate FC Ipo katika za Mwisho Kukamilisha usajili wa Kiungo Fundi, Mourice Chukwu raia wa Nigeria Kutoka Klabu ya Rivers United kwa Uhamisho Huru Baada ya Nyota huyo Kumaliza Mkataba wake na Klabu hiyo.