KILELE CHA AZAM SPORTS FEDERATION CUP MKWAKWANI

Kilele cha michuano ya Azam Sports Feferation Cup, ASFC maarufu kombe la FA imefanyika jioni ya leo katika uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga ambapo timu ya Yanga SC imetwaa ubingwa kwa kuichapa Azam FC bao 1-0.