Klabu ya Azam FC imeachana na beki wake wa kushoto Bruce Kangwa baada ya mkataba wake na klabu yake kumalizika.
Bruce Kangwa alisajiliwa mwaka 2016 akitoka klabu ya Highlanders FC ya Zimbabwe
Bruce Kangwa mwenye umri wa miaka 34 sasa atapatikana kama mchezaji huru.