Na Ikram Khamees. Dar es Salaam
Siku moja baada ya Mkuu wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara kutunukiwa tuzo na aliyekuwa mfadhili wa Simba, Sheikh Rawaih huko Oman.
Hatimaye siri imebumbuluka kuwa Sheikh Rawaih ndiye atakayeuziwa Hisa za kuimiliki klabu ya Simba, taarifa za ndani kabisa zinasema katika ziara ya Oman.
Manara ameambatana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wa klabu hiyo kwa maana Mohamed Dewji "Mo" kwishinei.