Yanga na Aucho kukaa meza moja


Yanga walishafungua Mazungumzo na Khalid Aucho kwa ajili ya mkataba mpya,Yanga walimpa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha nyongeza ya mwaka mmoja mbele.

Khalid Aucho aliomba muda kidogo aende kwao Uganda kwa mapumziko kisha atarudi Yanga kusaini mkataba.#Note;Khalid Aucho amepata ofa nono mara mbili zaidi ya Yanga ambayo walimpa.Khalid Aucho ndio amewaomba Viongozi wa Yanga aondoke kitu ambacho Viongozi wamekubaliana naye.

Na Khalid Aucho ataendelea kuwa mshauri ndani ya Uongozi wa Yanga heshima ambayo Viongozi wamempa Aucho kutoka na mapenzi yake ya dhati ndani ya Yanga.