Taarifa zakuaminika Ni rasmi Klabu ya Simba Sports Club imekamilisha usajili wa kiungo wa Klabu ya Yanga Mudathir Yahya Abbas (age 29).
Mudathir alitamani kucheza Simba Kwa muda mrefu na sasa ni rasmi atacheza ndani ya Klabu yake pendwa.
Ikumbukwe Mudathir Yahya Abbas atajiunga na Simba kama mchezaji huru baada ya kumaliza Mkataba wake ndani ya Klabu ya Yanga.