Klabu ya Simba Sc bado wanaendelea na mazungumzo na menejimenti ya mchezaji Abdalah Kulandana ili ajiunge na timu yao.
Wiki kadhaa nyuma Simba Sc walikua serious na dili na sasa wamerudi tena mezani.
Simba Sc wanamuona Kulandana kama ongezeko bora zaidi kwenye eneo la kiungo cha ulinzi kwa wachezaji wa ndani.
Abdalah Kulandana bado ana mkataba wa mwaka mmoja na klabu yake ya Fountain Gate.
Bado hakuna uhakika mkubwa ila mazungumzo yanaendelea