Offen Chikola ni Mwananchi


Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Tabora United na timu ya taifa ya Tanzania,Offen Francis Chikola (26).

Chikola amechagua kuwa Mwananchi kwa mkataba wa miaka miwili na kila kitu kimekamilika.

Msimu uliopita Chikola alifunga goli (8) za ligi kuu akiwa na Tabora United.

,$,$$$"$*@