Mrithi wa Tshabalala Simba, huyu hapa, apewa miaka mitatu

Simba SC Tanzania inakaribia kukamilisha usajili wa beki wa kushoto Khadim Diaw (27) raia wa Mauritania akitokea Al Hilal.

Simba itampa mkataba wa miaka mitatu kama watamalizana katika hatua chache zilizobaki.