PASCAL Msindo beki wa Azam FC itakuwa ngumu kwake kuibukia ndani ya Simba SC kwa kuwa tayari ameongeza kandarasi nyingine ambayo itawapa tabu Simba SC kuivunja.
Inatajwa kuwa Msindo yupo kwenye rada za Simba SC baada ya kukutana na ugumu kuongeza mkataba kwa beki Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye anatajwa kuwa katika rada za Yanga SC.